Mbilikimo Mfupi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 985
- 1,241
zabron k USISIKILIZE MANENO yao.Hiyo pesa ukiigawa hivyo, itaisha bila kuwana kitu cha maana
NakaziaKupanga Ni Kuchagua
Dawa Ya Deni Ni Kulipa
Nakukumbusha Kulipa Deni Ndiyo Music
Vipi,huwa hatembei na magazeti chakavu?Kuna mwenzio aliuza kiwanja chake million 150.
Akanunua Noah moja,akanunua na friji na mashine ya kutengeneza ice cream na baiskeli za kutembeza ice cream zingine akatumbua.
Sasa hivi anapiga miyayo tu
Mia mbovu hana
Kazi kuvaa suti jua kali.
KUWA MAKINI