hapo vipi? umekipenda kibustani changu.

Hmmmm..........hapo ni barazani sio?
 
mmmnh hicho ni kitanda au nini?nikaribishe kwako nije kutoa ushamba,lol
 
mbona kabustani chenyewe cha uchoyo ivyo??
 
kibustani kizuri sana hicho lazima nitakiiga niwe nacho kwangu siku moja. Kilivyo kidogodogo sitaona uvivu kukitunza.
 
kibustani kizuri sana hicho lazima nitakiiga niwe nacho kwangu siku moja. Kilivyo kidogodogo sitaona uvivu kukitunza.

Hivi umeolewa wewe? Nakumezea mate kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…