hapo ulipo umeme upo?

MZAWATA

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
556
Reaction score
96
wadau naomba msaada wenu,HIV I KUNA MGAO WA UMEME AU KUNA TATIZO GANI? MAANA HAPA MUSOMA TANGU ASUBUHI HAKUNA UMEME. Je,hali ikoje hapo ulipo???
 
wadau naomba msaada wenu,HIV I KUNA MGAO WA UMEME AU KUNA TATIZO GANI? MAANA HAPA MUSOMA TANGU ASUBUHI HAKUNA UMEME. Je,hali ikoje hapo ulipo???

Hapa nilipo Tabata Dar hakuna umeme tangu mida ya asubuhi
 
Huko si ndiyo anatoka Professor Sospeter Muhongo?!

Ninasikia Muhongo anasisitiza kwamba mgao haupo ila kuna njama za kuihujumu TANESCO na yeye pia.
 
Huku mtwara upo wa kumwaga, wiki yote hii tunafaidi tu.
 
Leo Morogoro upo ila two days ago ulikatika mchana
 
Huko si ndiyo anatoka Professor Sospeter Muhongo?!

Ninasikia Muhongo anasisitiza kwamba mgao haupo ila kuna njama za kuihujumu TANESCO na yeye pia.[/QUOTE]
hakuna cha muhongo wala mwongo hapa ni ful kukata umeme tu kila siku mdau
 
Huku kwangu adha ya umeme kukatika au mgao hatuujui kwani hakuna umeme (serikali haijaufikisha bado).poleni mnaopata adha ya mgao aka tatizo la kiufundi
 
Huko si ndiyo anatoka Professor Sospeter Muhongo?!

Ninasikia Muhongo anasisitiza kwamba mgao haupo ila kuna njama za kuihujumu TANESCO na yeye pia.
hakuna cha muhongo wala mwongo hapa ni ful kukata umeme tu kila siku mdau[/QUOTE]

Niko TMK Dar hakuna umeme.
 
Huku Geita kila siku una waka kuanzia saa 7:30 Usiku na unakatika saa 12:00 asubuhi! Ni sawa na HAKUNA UMEME KABISA-kwani hautusaidii watingaji!
 
Huku ulikatika saa 4 kasoro, na umerudi saa- Singida
 
Huku pande za Rombo Kilimanjaro upo ila umerudi mida ya saa 11jioni ila nina hofu wakijua upo wanakata sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…