Hapo SAB SCANIA naona vyuma vimepangana akina Majinja, Sauli, Akadodi nk Je, ni Uchumi haujafunguka au Niaje?

Nimeshuhudia Mabasi kadhaa yakiwa yamepaki ambayo tulizoea kuyapanda pale Magufuli Bus Terminal

Ndio najiuliza ni matatizo ya kiufundi au Marejesho ya Vicoba?

Niko pale

Jumaa Mubarak
Sometimes wanakukopesha basi kwa masharti maalumu, na ukikiuka makubaliano wanachukua basi lao.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom