Hapo chacha...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,522
salama wakuu? Naomba tushee experience. Mara ya kwanza kutongoza/kutongozwa na k2 kikakubali ilikuaje? Aisee nakumbuka mimi nilikua darasa la 7,mtoto alinisumbua lakini nikaja kumuweza baada ya kumwimbia wimbo wa nimekuchagua wewe wa bob rudala na i need a girl. Dah nilifurahi usipime,nikajiona bonge la kidume japo baada ya wiki 3 nilikula kibuti
 
dahhhhh
ngoja nikatafute diary ya miaka hiyoooo
maana sikumbuki kitu mmmmhhhhhh
 
nilimtuma mdogo wa demu m1 mkubwa zaidi yangu akamuambie dada yake kuwa nimempenda basi alinivizia tukiwa tunatoka madrasa na kunipa kpigo heavy.lkn nilivyokuwa mkubwa akanipa mambo
 
Mi nimeanza jana kutongoza lakin bado afrodenzi hajanikubali
 
salama wakuu? Naomba tushee experience. Mara ya kwanza kutongoza/kutongozwa na k2 kikakubali ilikuaje? Aisee nakumbuka mimi nilikua darasa la 7,mtoto alinisumbua lakini nikaja kumuweza baada ya kumwimbia wimbo wa nimekuchagua wewe wa bob rudala na i need a girl. Dah nilifurahi usipime,nikajiona bonge la kidume japo baada ya wiki 3 nilikula kibuti

teh teh teh teh

vitu vingine nikama michezo ya kuigiza ati!!!!!!
 
nilimtuma mdogo wa demu m1 mkubwa zaidi yangu akamuambie dada yake kuwa nimempenda basi alinivizia tukiwa tunatoka madrasa na kunipa kpigo heavy.lkn nilivyokuwa mkubwa akanipa mambo

duuuh,we mkaree
 
Dah, mi nakumbuka nilimtokea kwa miaka miwili, akanambia anakubali nusu, baada ya miezi sita akaongeza nusu nyingine na kuwa full love bt on matazamio. So miezi mitatu baadaye akakubali.
Nilimpata baada ya miaka miwili na miezi tisa.
Nasikia leo vocha ya tigo ya Tshs 1,000/= unapata mke. Duh, raha sana enzi zetu wasichana wa kijijini kwetu ilikuwa jasho kweli.
 
aisee mzee kweli ulikua mvumilivu
 
hahahaaaaaaaaaaaaaa, mbavu zangu.., kaka acha fix bana..!!
 
Nimesema enzi hizo siyo hizi, ilikuwa issue, unaandika barua unaweka kwenye daftari la geograph halafu unamwabia kuna notice mpya hujaandika, akifika hm anaikuta. Hapo sasa inabidi usikilizie majibu. Asipojibu imekula kwako, inabidi ukajipange tena.
 
Yaani bob ludala na mwimbo wake ulikuwa darasa la saba? kweli humu kuna matineja wengi, mie vibarua tu vya hapa na pale nikaingia line
 
Back
Top Bottom