Hapatoshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapatoshi

Discussion in 'Sports' started by Think, Aug 7, 2012.

 1. Think

  Think Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 27, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kiama barani ulaya; wakati ligi mbalimbali zikikaribia kuanza huwa kuna utaratibu ma bingwa wa ligi kucheza na bingwa wa kombe la ligi ktk nchi husika.

  11/8/2012 Juventus vs Napoli (SUPERCUP), wakati 11/8/2012 Manchester city vs Chalsea (NGAO YA HISANI) huku 23/8/2012 Realmadrid vs Barcelona (SUPERCUP), 12/8/2012 Borussia dortmund vs Bayern munic (SUPERC


  ungependa usikose mechi ipi? TAFADHARI WADAU
   
Loading...