Inaeleweka, angalia mguu wa kushoto upo ndani wa kulia nje, hivyo mkao unaofikiri wewe hauleti picha hapo. Ingekuwa ameacha nje mguu wa kushoto na wa kulia upo ndani na mkao wa mwenzake hapo nyuma ndo ungeweza kuleta hisia ya hicho unachowaza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.