Yan ww unagegeda halafu unavaa boxer?...watu mna mambo ya ajabu sana.
Hata bongo movie wenzio hawafanyi hivi au ndo jini kabula la jumba la dhahabu
Mh.... yani nilishawahi kukumbwa na case ambayo may be inafanana na hii may be 80%!!!
Bint kakosea namba - wa Tabora, - kaniganda - tukaanza mawasiliano - alikuwa na sauti nzuri ajabu...
Ila sikumbuki kama nilikuwa na wet dreams ama kuumwa mbavu ila nakumbuka nilikuwa napewaga pole. Sikumbuki coz ilikuwa around 2008, 2009. Na ndio historia ya jina "Tuko"...
Mh... ngashtuka...
Mkuu funguka vizuri bhana