Kulikua na shindano la kula ugali na mboga ya ajabu.
M2 wa kwnza alikula ugali na chumvi mfuko mzima.
M2 wa pili alikula ugali kwa kushushia na maji,alimanusura ashinde.
Ndipo akatokea m2 wa tatu aliewafunika wote pale alipoamua kula tonge kubwa la ugali na vi-ugali ugali vdgo kma mboga!!!