Hapana Chezea Wadada Wa Mjini Daslamu..


weee weee.....kwani kuuza mawe ni mpaka uende Mererani.....au utalii ni mpaka uwe driver guide......jombaaaa.....akili ku mukichwa.....chezeya feminine......
 

Ngoja watumie rasilimali zao bana..
 
Usishangae ndugu, kama uliwahi kuhonga vocha ya buku au buku ten na hukufeel maumivu ndo hivyo wenzio wanahonga magari na nyumba na hawana maumivu kwani wananzo za kutosha. Cha ajabu tu ni kwamba wana ndugu zao wahitaji ile mbaya huko vijijini lakini wagumu kweli kutoa msaada. We unafikiri kama una hoteli au filling station faida yake utakula na nani hata Mfalme Suleman aliandika " Mali akiongezeka, na Walaji huongezeka" We Mwombe Mungu tazama kwa macho uone mwisho wake.
 
Preta" its tru kwmba sio lazima mdada kungaa awe anafanya b'nes Mererani au awe driver guide wa utalii, Mi nakwambia most of girls wanao kula big times A-town huwezi jua wanafanya kazi gan hawapo kwenye idara zote lakani shangaa Vyombo(Madinga) wanyosukuma ni zaidi ya umri wao na kazi wanazo fanya, ukitaka kuamin hayo cheki mabinti wanaofanya kazi benk, law firms ( hapa ndo balaa) and hotels au wenye vibishara uongo vya nguo they are real pushing nice cars na wanaishi kwenye mijengo ya maana, yaaani Kaazi kweli kweli yan hata Mjombaa saa wanpigwa bao kam wamella vile.
 
Haramu tamu, hao mabinti utakuta hawakalii upanga mbele hata kidogo, hata ukiwatafuta mitaa yote huko upanga huwakuti. Hawa hukalia kigogo nyumaaa maana hawaonekani. Mapato makubwa yapo huko na mapedeshee wanawataka hao wakalia kigogo na kuwalipa pesa chafu. Mabinti hao mtaa wa kigogo wao kuko waziii wanatembea na nepi, tabu ya nini fahari ya muda mfupi karaha ya milele.
 
halafu utashangaa sana wana shine kwa muda mfupi sana miaka miwili au mitatu wanapotea kabisa
 
weee weee.....kwani kuuza mawe ni mpaka uende Mererani.....au utalii ni mpaka uwe driver guide......jombaaaa.....akili ku mukichwa.....chezeya feminine......

Ni kweli Preta,''Femme Fatale'' wao wapo at the end of the business tunnel. Mnahangaika lakn at the end ni lazima ukutane nao na kusalimisha kila ulichokusanya. Hahahaa,sasa kwanini aende mgodini? Kwann awe dereva wa tours? Hayo ndio maisha kwa ''Femme Fatale''!
 
Wachunaji hawakuanza leo na wataendelea kuwepo. Tatizo ni kuwa hawajifunzi kwa wenzao waliopita. Hiyo ni biashara yenye very short life span. Uso ukianza kushuka tu mabuzi yanaamia kwa spring chicken.

Kuna dada alikuwa jirani yetu, she was cute na figure yake ya kibantu. Mi nilikuwa mtoto miaka ile ya late 80s, huyu dada alikuwa analetwa home na mabuzi tofauti tofauti...chenji ilikuwa haimsumbuhi. Niliweza kuwafahamu ma pedegee wengi wa miaka hiyo through yeye (mashemeji).

Lakini leo hii huyu dada hana hata Vitz kwa kuwa elimu yake ilikuwa form four...yeye alijua uzuri pekee ndio utamweka mujini. She was wrong.

Angalia biashara wanazofanya, salon, maduka ya nguo....ambazo ni most likely wanaziendesha kwa loss. Sasa umri ukienda mabuzi yakaamia kwengine; ndani ya miezi kadhaa wanaanza kuumbuka. Trace walotesa zamani wako wapi sasa.

Ni wachache sana wale waliolazimisha hayo mabuzi yawajengee ndio at least wanaishi kwa kodi za nyumba...and yet si ela nyingi kihivyo hivo wana descipline na matumizi yao kwa sasa.
 

Unaweza kuja kushangaa na wewe mwenyewe kujikuta umechangangia mafanikio yao! Kwa sehemu kubwa, mwenye nyumba ndogo, demu, kibustani nk ni watu wanaowachangia dada zetu wa namna hii kwa namna moja au nyingine!
 
weee weee.....kwani kuuza
mawe ni mpaka uende Mererani.....au utalii ni mpaka uwe driver
guide......jombaaaa.....akili ku mukichwa.....chezeya
feminine......

watoto wa a town huwa wanaogopeka nao coz duh?wamezoea kuhongwa mijihela mingi sana
 
mkuu umenikumbusha movie yenye jina hilo la (blank Cheque)

Ninaipenda sana huwa inanchekesha mno........
...Mkuu, Umeishawahi kusikia 'Blank Cheques' walizonazo dada zetu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…