Imekuwa kawaida kwa CDM kutimua yeyote mwenye mwenendo tofauti na Mwenyekiti Mbowe na Katibu Mkuu, Dr. Slaa. Jambo lililo wazi ni kwamba haijawahi tokea Mchaga kufukuzwa ama kusimamshwa katika uongozi.
- Je wachaga ni waadilifu ndani ya chama?
- Kwa nini nje ya wachaga huundiwa kesi ama wachaga hawana makosa
- Uhusiano wa Mbowe na Mtei unatia doa