Hapakazitu

nyakoremanyanswi

New Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Lowassa akipata robo ya kura za Watanzania ikifika Oktoba 25, nitatembea uchi mitaa yote ya Kariakoo na Manzese. Huyu babu ameshachoka na hajiwezi tena kwa jambo lolote.

Kuwa Amiri Jeshi Mkuu yataka uwe na afya madhubuti jamaniii... Pole sana Mzee wangu Lowassa. Bila shaka hata yeye anaomba uchaguzi ufanyike hata kesho ili apumzike sasa maana amejionea mwenyewe ugumu wa kupambana na CCM ulivyo.

CCM HOYEEEEEEEEEE :glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
Yaani yale matokeo ya utafiti ya mabalozi wa nyumba kumi kumi ndio unatembea nayo kifua mbele tena nasikia na simu walipewa kweli wajinga ndio waliwao kura ni siri yetu na ccm ndio kwanza wamezidi kumpatia lowasa umaarufu jiandae kisaikolojia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…