Hapa vipi?

Huyo jamaa kwenye Avatar yako si ndo alikua anajiita Side mnyamwezi au sio yeye??
Nimemiss sana majarida ya Sani
Anaitwa BANDIDU mkuu anapatikana kwenye jarida la Gumzo la Marco Tibasima
 
Anaitwa BANDIDU mkuu anapatikana kwenye jarida la Gumzo la Marco Tibasima
Ok at that time nilikua sijajua kutofautisha hawa characters wanatoka kampuni zipi mpaka leo najua Sani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…