Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,802
- 22,139
Kisongo,hewaArusha wapi hamna umeme? Njiro umejaa
Rombo, Moshi, mwanga, SameKilimanjaro sehemu gani hapa nilipo mimi upo
TAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KWENYE MIUNDO MBINU YETU YA UMEME
Habari wapendwa wateja wetu
Tunaomba kuwataarifu kuwa tunalazimika kuzima huduma ya umeme ili kuruhusu mafundi Kuunganisha mradi utakaosaidia kuboresha upatikanaji wa umeme maeneo ya ubungo makao makuu.
SIKU: Jumamosi
TAREHE. 15/03/2025
MUDA
Kuanzia Saa 04:30 Asubuhi Hadi Saa 05:00 Asubuhi kwa muda wa nusu saa
MAENEO YANAYOATHIRIKA
KMARA, KIBO, KIMARA ROMBO, KIMARA BARUTI, DOCHA, KONA, KIMARA BUCHA, KOROGWE, RESORT, KIMARA MWISHO, KIMARA MAVURUNZA, GOLANI, KIMARA MICHUNGWANI, MATETE, KAM COLLEGE, EBONITE NA MAENEO YA JIRANI, Tanroad ubungo , PVC ubungo na Maeneo Jirani.
Tunawaomba radhi wateja wetu kipindi hiki tunachoendelea kuboresha miundombinu ya umeme.
Kwa taarifa au ulizo wasilana nasi kwa namba 0756251753 au 0748550000
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Tanesco Kinondoni Kusini
15/03/2025
Ni kukosa akili kuamini kwamba tanesco ilianzishwa Ili kukata umemeTanesco nawakubali saaana wawakomeshe di mnafurahia 5 tena nchi mmeuza??usilalamike mjomba.
Jamaa wako Ethiopia watakuja nao, huu wakwetu umepotelea njia.1. Singida hakuna
2. Mbeya hakuna
3. Arusha hakuna
4. Kilimanjaro hakuna
Na kote huko umetembelea ukaona hakuna umeme?Rombo, Moshi, mwanga, Same
Huo nu wa Ethiopia.Uwongo usiseme nchi nzima, nilipo mimi na mikoa ya jirani upo
Pokeeni umeme kutoka EthiopiaTAARIFA YA MATENGENEZO YA DHARURA KWENYE MIUNDO MBINU YETU YA UMEME
Habari wapendwa wateja wetu
Tunaomba kuwataarifu kuwa tunalazimika kuzima huduma ya umeme ili kuruhusu mafundi Kuunganisha mradi utakaosaidia kuboresha upatikanaji wa umeme maeneo ya ubungo makao makuu.
SIKU: Jumamosi
TAREHE. 15/03/2025
MUDA
Kuanzia Saa 04:30 Asubuhi Hadi Saa 05:00 Asubuhi kwa muda wa nusu saa
MAENEO YANAYOATHIRIKA
KMARA, KIBO, KIMARA ROMBO, KIMARA BARUTI, DOCHA, KONA, KIMARA BUCHA, KOROGWE, RESORT, KIMARA MWISHO, KIMARA MAVURUNZA, GOLANI, KIMARA MICHUNGWANI, MATETE, KAM COLLEGE, EBONITE NA MAENEO YA JIRANI, Tanroad ubungo , PVC ubungo na Maeneo Jirani.
Tunawaomba radhi wateja wetu kipindi hiki tunachoendelea kuboresha miundombinu ya umeme.
Kwa taarifa au ulizo wasilana nasi kwa namba 0756251753 au 0748550000
Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja
Tanesco Kinondoni Kusini
15/03/2025
Hiyo ndio njia pekee ya kujua? Maeneo mengi nchini leo umeme ulikatika.Na kote huko umetembelea ukaona hakuna umeme?
zipo umeme mbili mnazungumzia umeme upi..?Arusha wapi hamna umeme? Njiro umejaa