Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,981
Sijawahi kuona hali hii tangu nizaliwe
Ving'ora vya ambulance zimekuwa vingi sana,kila baada ya saa moja ambulance inapita hasa hasa inatokea vijijini
Na Kwa mujibu ya watu wanaoishi Tarime vijijini wanasema misiba imekuwa mingi kuliko kipindi chochote yaani vifo vya ghafla vimekuwa vingi sana na watu wanaumwa kwa ghafla na misibani watu wanasongamana
Halafu viongozi wa wilaya wana magari ya serikali wamekaa kimya badala ya kupeleka elimu vijijini watu wajikinge na corona
Hata hapa mjini hali si shwari,ila ambulance zimelia kwa wiki hii,usiku na mchana na kila baada ya saa kadhaa