hapa sio kujidhalilisha?

Sasa kupima uzito mpaka uvuwe nguo duuuuuuu!!!!!!!!!!!!! Hiii kal ya mwaka wapi tena mambo haya...........???????
 
Kwa hiyo jicho lako limefika hapo moja kwa moja.

macho hayana pazia atii. sasa huyu ukiskia kakuolea dada yako tenga msiba manake hiyo inaitwa sagasaga maini, katakata kizazi.
 
Halafu huyo wa kwenye mzani mbona kama ametoa ... nje? Au ni majicho yangu?
 
Kwa hiyo jicho lako limefika hapo moja kwa moja.

huyu pasi kukosea atakuwa mhehe manake wao huwa wanachanjiwa dawa wakiwa wadogo ili wawe na shine kubwa wakidhani ndio urijali.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…