NullPointer JF-Expert Member Joined Feb 7, 2011 Posts 3,461 Reaction score 2,284 Aug 12, 2014 #21 MUSSOLIN said: eti ni kweli haingii bomu Click to expand... hamna kisichoingia bomu... inategemea unaongelea na bomu gani... missile za wapalestina zinaiangusha hii fasta sana
MUSSOLIN said: eti ni kweli haingii bomu Click to expand... hamna kisichoingia bomu... inategemea unaongelea na bomu gani... missile za wapalestina zinaiangusha hii fasta sana
M michepuko JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 1,192 Reaction score 346 Aug 12, 2014 #22 Kuna mchaga mmoja alikuwa waziri wa fweza enzi za Ukapa,alitulisha sana tembele kisa tu inunuliwe ndege ya kiraia ya rais, Sasa ikinunuliwa hii Chinok siju ndo itakuwaje tena.
Kuna mchaga mmoja alikuwa waziri wa fweza enzi za Ukapa,alitulisha sana tembele kisa tu inunuliwe ndege ya kiraia ya rais, Sasa ikinunuliwa hii Chinok siju ndo itakuwaje tena.
John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,009 Reaction score 1,030 Aug 13, 2014 #23 ugali kwa chumvi mwaka mzima.