Hapa patulivu, panaliwaza, kuna afya

Karibu Mkuu, kila jukwaa lina raha, mabaya na uzuri wake..., I hope tutaendelea kuonana kwenye majukwaa tofauti, na kila tunapokosea na mtu akileta hasira usihofu., hasira sio za kwako bali ni kwenye hoja zako, alafu hakuna dawa nzuri kama mtu akija kwa hasira wewe ukampokea kwa upole..., "We Destroy Our Enemies By Making Them Our Friends" Martin Luther King
 
Karibu sana hosni mubarak......karibu, huu ni msimu wa mapera

Asante sana birigita, habari ya asubuhi. Kweli umemkomesha Hosni Mubarak, kutoka ikulu hadi shamba la mapera. Naomba nipe muda mama nizoee shida kidodo kidogo, au vipi
 
Karibu Mkuu, kila jukwaa lina raha, mabaya na uzuri wake..., I hope tutaendelea kuonana kwenye majukwaa tofauti, na kila tunapokosea na mtu akileta hasira usihofu., hasira sio za kwako bali ni kwenye hoja zako, alafu hakuna dawa nzuri kama mtu akija kwa hasira wewe ukampokea kwa upole..., "We Destroy Our Enemies By Making Them Our Friends" Martin Luther King

Asante kwa ushauri mkuu, nitazingatia. Basi naomba tukionana huko mitaa mingine tusiache kupeana hi.
 
Asante sana birigita, habari ya asubuhi. Kweli umemkomesha Hosni Mubarak, kutoka ikulu hadi shamba la mapera. Naomba nipe muda mama nizoee shida kidodo kidogo, au vipi
We Bigie sio mama!Utachapwa!
 
Karibu sana! hili jukwaa kweli watu wanapendana, hawatukanani wala kukashfiana, ni familia moja, hukutana live na husaidiana kwa mambo mbalimbali. si jukwaa la kulikosa.
 
Asante Remmy, nilipokuwa nazurura nimekuona pia, uko juu
 
Karibu sana Muhosni. Jina lako lina uhusiano na Hosni Mubarak?

asante Gurudumu labda ndiyo mimi. Bigirita alinishutua ndo nikagundua kwamba tarehe niliyoingia hapa ndiyo tarehe Mubarak alikimbia Misri!!!

Lakini on a serious note, nimeona moto wako kule jukwa la ukanda wa gaza (siasa). I am stunned by your analytical abilities, ingawa unaonekana wazi kwamba wewe unataka ukombozi utokee sasa hivi.
 
Back
Top Bottom