Aibu kubwa kwa taifa ambalo VX V8 ndio magari rasmi ya viongozi wa kada mbalimbali serikalini likiwamo jeshi na jeshi la polisi na magereza
si aibu kwa sababu hakipo Dar au Chalinze
Na hapo ni mpakani na Burundi. Taswira ya kwanza ya Tanzania mgeni anayoiona anapoingia nchini.
sana tu tena wamesakafia panaonekana papyaaaaa
Sema mtuhumiwa atakayekosa hela ya kuhonga ndiye atakayesulubika hapo,tena awe hajanywa maji ya kutosha siku hiyo,maana ukiwa na mkojo wa kutosha polisi watakuta kituo kimegeuka kifusi asubuhi ya kesho.kwani umeambiwa huyo police ndo kwao hapo mtuhumiwa atakae kamwata na kufungiwa humo ndo atakae pata tabu