Hapa nina kosa gani wakuu!!?

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,473
16,124
Goodmorning ladies and gentlemen
Wakuu mwenzenu huwa na katabia kuwa ikitokea serikali ikafanya kitu kikaniudhi huwa najikumbusha makosa niliyofanya 2015 kwa namna flani. Sasa mida hii nipo kwenye bus nasafiri jamaa yangu akanitext kuwa pale shirikani kwetu kuna allowance flani imesitishwa (imefyekwa). Kwa hasira nikaweka earphone masikioni nikaweka volume juu kabisa nikisikiliza lile song of the year 'CCM NI ILE ILE'. Kumbe ile sauti aliyekaa jirani akawa banaisikia nikashangaa mtu ananijia juu ile kutoa earphone nimsikilize nashangaa ananiambia "wewe unatu enjoy kwa kutusikilizisha huo wimbo" na abiria wengine wanamsuport kabisa... Hivi wakuu hapa kunakosa nimefanya!!? Na ukizingatia niliweka earohone!!?
 
Wanafiki tu; kwann hawakulinda haki yao 2015. Wanadhani kuachia madaraka ni free lunch sio. Acha waisome namba dadadeki!
 
Wanafiki tu; kwann hawakulinda haki yao 2015. Wanadhani kuachia madaraka ni free lunch sio. Acha waisome namba dadadeki!
nashangaa watu wanaawaka utafikiri wamewekewa pilipili machoni...
 
Back
Top Bottom