Hapa nina full stress

Duh... jitahidi upime ujue Hali Yako
Ila I hope huna...
Yeah hope sina sababu huyu dem anaconfidence mbaya hata umwamshe saa 8 usiku umwambie mkapime anaenda yani anajiamini sana
 
Angekuwa nao ange mute...

Au anao ndo maana anajiamini anajua mkienda wote kupima majibu yakawa sare atakuwa amejipatia mwenza WA maisha...yote yanawezekana....cha muhimu ni kujua Hali Yako
Yeah hope sina sababu huyu dem anaconfidence mbaya hata umwamshe saa 8 usiku umwambie mkapime anaenda yani anajiamini sana
 
Mkuu pole, usimuamini mtu hata siku moja juu ya Afya yako. Ila kapime ukimwi ili uishi kwa amani. Itakusaidia kuwa makini zaidi na kujipenda. Kwa sasa unaweza ishi maisha ya woga na kutojiamini. Most likely hauna ukimwi, maana kwa dalili za gono nadhani daktari lazima alipima vyote ikiwemo na ukimwi. Angekwambia kama ungekuwa nao. Japo siyo lazima apime ila mostly wanafanya hivyo kama dalili zako zinatia wasiwasi wanapima magonjwa yote yenye dalili hizo za magonjwa ya zinaa.

Pole, na jitahidi kuwa makini na Afya yako.
 
Ki
Kijana kama sio mkeo Kinga ndo first priority nimecheka sana mama nesi kukwambia unajidhalilisha yaan ulifanya Kwa kificho ona sasa umeumbuka next time never do that shit u will escalate the fire. Madem wengi Wana gono na Iko chronic sana ila awajijui kama wanayo hivyo trust none
 
Angekuwa nao ange mute...

Au anao ndo maana anajiamini anajua mkienda wote kupima majibu yakawa sare atakuwa amejipatia mwenza WA maisha...yote yanawezekana....cha muhimu ni kujua Hali Yako
Hapana yeye mwenyew akijaga hom stori akute hata panadol ndani anakuuliza hz dawa zanini mi huwa namtamia namwambiza za ngoma bac anaruka huyo
 
Shukrani sana mkuu
 
Vipi halia yako lakini? Na patna wako vipi alipata dawa..?
Patner wangu mi nilimuacha japo bado ananisumbua swala la kupata tiba anasema ashapona hapa anataka twende tukapime ngoma kama tupo fresh tuendelee na mahusiano ila mi nimechomoa
 
Daaah saiz mbunye naziogopa kama ukoma
 
Pole mkuu mapito ya duniani, dah! Nakumbuka 2017 nilipata kimanzi Fulani hivi kina grocery.

Nikatafuta siku kakajaa kwenye mfumo. Kwenda lodge hakukuwa na "Kinga" ikabidi niende hospitali kuchukua Salama kumbuka hapo ni usiku yapata saa 6 hivi.

Duhh! Hizo Salama ni takataka yaani, katikati ya gemu nikashangaa ladha imekolea kucheki ndom Iko juu ishapasuka Dahh!!

Nikamalizia gemu kibishi.

After 12 hours mrija wa mkojo ukaanza kuwasha, nikahisi UTI, nilitumia AZUMA vidonge vi3 ikakata kabisa. Sikutaka Tena mazoea na hako kamanzi.

Ujinga wetu wanaume, hamu zikipanda Huwa tunarahisisha sana maamuzi.

Mi nadhani ni muda wa kutundika daruga la uzinzi. Maana asilimia kubwa ya mademu UTI tupu na gono nje nje!
 
Mkuu umenichekesha sana unasema ulisikia game imekolea kuangalia ukakuta ndom tayaro ipo juu ishaanga mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…