Hapa nimekula au nimepoteza muda??

Hapa nimekula au nimepoteza muda??

usy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
209
Reaction score
165
Wakuu habari za muda huu.!!

Juzi kuna kijana nilimfanyia application ya chuo, Nilianza na UDSM nikafungua account wakanipa control number nikalipa 10,000 nikaweka machaguo mwisho nika submit application..

Baada ya hapo nikahamia Mzumbe university, nikafungua account wakanipa control namba nikalipia ikakubali nikaendelea na application nika submit mwisho wakanitumia meseji ( ninayo ) ya kunipongeza kuchagua kusoma mzumbe.!!

Sasa Jana mchana iliingia text ya tigo pesa ikionesha kwamba transaction imefail na ela yangu inerudishwa, shilingi 10,000/= wakati najaribu kufananisha namba nikagundua kua ni ile niliyolipia application mzumbe university, ikabid nilog in kwenye account niliyotuma maombi,, kikakuta kila kitu kipo sawa, sasa najiuliza hapa hii imekaaje application wataiconsider au nifanye nini,,

Naombeni msaada
 
dah aisee,, ila account bado inaonyesha ipo active
 
Nenda kajipongeze kwa kula kuku na mrija acha kuyumba kijana, wakati mwingine mungu anawapatia pesa halafu mnazikataa....
 
  • Kicheko
Reactions: usy

😂😂😂😂😂wanasema Muombaji ambaye Hajalipia Ada ya maombi, maombi yake hayatafanyiwa kazi
 
Wakuu habari za muda huu.!!

Juzi kuna kijana nilimfanyia application ya chuo, Nilianza na UDSM nikafungua account wakanipa control number nikalipa 10,000 nikaweka machaguo mwisho nika submit application..

Baada ya hapo nikahamia Mzumbe university, nikafungua account wakanipa control namba nikalipia ikakubali nikaendelea na application nika submit mwisho wakanitumia meseji ( ninayo ) ya kunipongeza kuchagua kusoma mzumbe.!!

Sasa Jana mchana iliingia text ya tigo pesa ikionesha kwamba transaction imefail na ela yangu inerudishwa, shilingi 10,000/= wakati najaribu kufananisha namba nikagundua kua ni ile niliyolipia application mzumbe university, ikabid nilog in kwenye account niliyotuma maombi,, kikakuta kila kitu kipo sawa, sasa najiuliza hapa hii imekaaje application wataiconsider au nifanye nini,,

Naombeni msaada
Hili swala limenikuta hata mm nashangaa Ni Nini hii Sasa? Pesa imerudi lakini inaonesha michakato nimekamilisha vizuri
 
Alafu hiyo ishu imewatokea wengi kuna Dogo nae hadi kaapply kila kitu ila hela alirudishiwa sijui nini kitafata mbele😃
 
  • Thanks
Reactions: usy
Mimi pia nmeapply chuo cha st Joseph na had nkapewa pongezi ya kufata process zote na kumaliza zoezi kikamilifu lakini sikuona hatua yoyote ya malipo!! Bado najiuliza ipo vp hyo!!
 
Back
Top Bottom