Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,745
- 167,910
Wanaokuambia umuache sijui ujikatae.....sa. umuache uende wapi ambako hautachitiwa??? Komaa hapo hapo kama bado unampenda ila tu BE A BITCH u kno wora m saying
Subiri kutafutwa mrembo. Ya nini ujitese!Nimechok kutafuta
Yaani unamshauri apiganie penzi la umma!Wanaokuambia umuache sijui ujikatae.....sa. umuache uende wapi ambako hautachitiwa??? Komaa hapo hapo kama bado unampenda ila tu BE A BITCH u kno wora m saying
Then vumilia unachokutana nacho.Eeeh
Nani asie na wapenzi wengi jamani yani utakuta hata mleta mada nae ana danga lake pembeni 😂😂😂😂Yaani unamshauri apiganie penzi la umma!
Achana na hiyo pc yaani ulitakiwa umuache na historua asikusahau 🤣Nina PC napiga mnada hapa