Hapa ni wapi jamani?

Hapo juu ni saohil umetoka Mafinga unaelekea makambako na kuna ardhi oevu msimu mzima wa mwaka kwa hapo bondeni.

nina swali, kwa hyo wakishavuna miti inabaki hiyo picha ya chini?
 
Tz vivutio tele ila basi tu,majizi yamejaa kila kona!
 
nina swali, kwa hyo wakishavuna miti inabaki hiyo picha ya chini?

Hawavuni kama unavyofikiria wewe hakuna siku utapita uione nyumba Saohil ni msitu mkubwa sana yani kabla hawajavuna washapanda mingine tayari na ni kwa mistari.
 
nina swali, kwa hyo wakishavuna miti inabaki hiyo picha ya chini?

mkuu msitu huo ni mkubwa sana,, A.masharik unaongoza umeanzia mpakan na mbeya mpaka kuukaribia morogoro.

Hapo wanavuna kwa potion na ni kata mti panda mti
 
mkuu msitu huo ni mkubwa sana,, A.masharik unaongoza umeanzia mpakan na mbeya mpaka kuukaribia morogoro.

Hapo wanavuna kwa potion na ni kata mti panda mti

asante mkuu
 
Sao hill forests.... ukitokea Makambako kuelekea Mafinga..... Iringa
 
Sao hill forest. Ni msitu wa kupanda , hasa miti jamii ya pines patulla, pinus eliotii, na pinus carribea hii hutumika kwa mbao, Pia hupandwa miti aina ya mikaratus, eucalyptus glandis na eucalyptus saligina kwa ajil ya nguzo , hasa za umeme au fence , fencing poles ingawa nayo hufaa kwa matumizi ha mbao. Ndio msitu mkubwa wa kupandwa Africa mashariki na wa Tatu kwa ukubwa Africa , ukiondoa ule wa South Africa na Malawi . Sao hill una jumla ya takriban yenta 160,000
 
Sema hizo ni sehemu 2 tofauti japo unaweza sema moja msitu ukiwepo na baada ya kuvunwa.
Kwa kina Kamwene huko popi adimu sana.
 
...hii ya chini kama maeneo ya karibia na makambako, au njia ya makambako mbeya...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…