Hapa ni wapi jamani?

....ya juu ni mufindi...
 
au lile pori la biharamulo ukienda bukoba walipojaa majangili
 
Mh mh mh mh mh mh mh,mi nilitazama haraka nikadhani ni waterfalls.
 
hapo ni nyololo hone town unauanza msitu wa saohil ukitokea uelekeo wa makambako
 
Hapo juu ni saohil umetoka Mafinga unaelekea makambako na kuna ardhi oevu msimu mzima wa mwaka kwa hapo bondeni.
 
ya juu ni iringa to njombe
y chini ni morogoro to iringa
 
nimeclick picha kuikuza imeandikwa iringa na mufindi.. bila shaka ndo jibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…