Hapa ni vilio tu

Usijidanganye, Mungu hayupo kwenye chama chenye wafuasi wa Freemason,

Kama mmeshinda kwa haki ni sawa ila kama mmeiba haya machozi yatawala mpaka vizazi vyenu vyote iko siku utalikana hili jina. Na utatubu na kizazi chako chote kitatoa machozi zaidi ya haya hata wazazi wako. Na ninamaanisha hakuna zaidi ya mungu......asante
 
Pole sana kwa maumivu.
 
Naomba tusiwe tunamuingiza Mungu kwenye interests zetu, ingekuwa Mungu ni binadamu wakoloni walioinyonya Africa wasingekuwa wanaishi leo, ila wanaishi na wana maisha mazuri kuliko hata Africa, Mungu hadhihakiwi jamani
 
:crying::crying::crying::crying::crying:
 
Ameen....
 
Naomba tusiwe tunamuingiza Mungu kwenye interests zetu, ingekuwa Mungu ni binadamu wakoloni walioinyonya Africa wasingekuwa wanaishi leo, ila wanaishi na wana maisha mazuri kuliko hata Africa, Mungu hadhihakiwi jamani

mkuu,unaweza ukanipa mfano wowote wa mkoloni aliyeinyonya afrika lakini mpaka leo bado anaishi?yuko wapi cecil rhodes au mpaka leo bado yupo?haki haipotei mkuu na chozi la mnyonge haliendi bure.
 
pitia ukoloni mamboleo
 
mkuu,unaweza ukanipa mfano wowote wa mkoloni aliyeinyonya afrika lakini mpaka leo bado anaishi?yuko wapi cecil rhodes au mpaka leo bado yupo?haki haipotei mkuu na chozi la mnyonge haliendi bure.

duh! Maskini! Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…