Hapa ni kazi tu

Hapa ni kazi tu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
10984572_1262497220431360_3251657063677345097_n.jpg

Sisi EMU Oyeeeeeeeee
 
Attachments

  • hapa kazi tu.jpg
    hapa kazi tu.jpg
    86.7 KB · Views: 80
Utashangaa na kuzimia nikikuambia kwamba nusu ya wanawake hawa wanaosota hapo hospitali wameipigia kura ccm juzi 25/10/2015!!!!!!!!! Nyani Ngabu, hebu lete ile signature yako hapa!
Wengi wa wtz wanadhani kufanyiwa maendeleo ni msaada wa sisiemu na si haki yao.
 
Hii picha UKAWA ndio ngao yao.

Ya zamani sana, na imeshawekwa hapa mara nyingi mno.

Tuwaachie UKAWA na wao wapate la kuongea, maana wamekuwa wakimya mno.

UKAWA njooni mchangie hapa ili mpate kupunguza maumivu mlio nayo.

Rais Magufuli, anawanyima raha watu kupita maelezo
 
Ccm ni ile ile .... Ohh ni ile ile...
 
Mnaanza kuonekana e...

Jichomozeni, sio mnajificha ficha.

Haya ungeni tela.

UKAWA mmeishiwa
 
Hii picha UKAWA ndio ngao yao.

Ya zamani sana, na imeshawekwa hapa mara nyingi mno.

Tuwaachie UKAWA na wao wapate la kuongea, maana wamekuwa wakimya mno.

UKAWA njooni mchangie hapa ili mpate kupunguza maumivu mlio nayo.

Rais Magufuli, anawanyima raha watu kupita maelezo
Tunayo mengi ya kuongea. Na kuanzia sasa yatazidi kuongezeka, ila kwa sasa tunatafakari jinsi Nape alivyokanusha ahadi ya Magufuli ya "Kuanzisha mahakama maalum ya mafisadi".
 
Hii picha UKAWA ndio ngao yao.

Ya zamani sana, na imeshawekwa hapa mara nyingi mno.

Tuwaachie UKAWA na wao wapate la kuongea, maana wamekuwa wakimya mno.

UKAWA njooni mchangie hapa ili mpate kupunguza maumivu mlio nayo.

Rais Magufuli, anawanyima raha watu kupita maelezo
Tunayo mengi ya kuongea. Na kuanzia sasa yatazidi kuongezeka, ila kwa sasa tunatafakari jinsi Nape alivyokanusha ahadi ya Magufuli ya "Kuanzisha mahakama maalum ya mafisadi" https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=966861&p=14518001&posted=1#post14518001
 
Back
Top Bottom