Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,041
- 772
Kimox Kimokole kwa nini isiwe merged? inafanana na ya Nyasiro
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.
View attachment 106238
Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei.
Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh) na Linux.
Jinsi ya Kufanya:
- Chomeka Modem yako ya Huawei
- Ikifungua Software ya Huawei Modem ambayo ulishainstall awali "IFUNGE"
- Run hii Update uliyoidownload HAPA.
- Wakati ina-write dashboard hii, Ikifungua software ya Mobile Partner ifunge mpaka itakapomaliza
- Sasa Uninstall software ya zamani ya modem yako na ufurahie Dashboard hii Mpya yenye WiFi
Tafadhali Mods Msiunganishe Thread hii kwa manufaa ya Wanajamvi na kama vipi iwe Sticky!!!
WiFi Kimox 2013
mkuu hata desktop itaweza ku access WiFi kwa kutumia dashboard hii?
Uncle Rukus mpaka sasa nimeweka kwenye E303, E173 na E160 inafanya vyema tuMkuu hii kitu inakubali kwenye modem zote za huawei au ni kwa baadhi yake?
mkuu Hii Dashboard ni Ya Ku suply Wifi yaani Hotspot... Sio kupokea.... Desktop pia znasuport wifi kutokana na Model.... Maana yake kuna hadware yake ikiwemo kwenye pc uta access tuu
Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.
View attachment 106238
Dashboard hii ukii-run itaingia moja kwa moja kwenye Modem yako ya Huawei.
Pia Dashboard hii ina-support Windows, OSX (Macintosh) na Linux.
Jinsi ya Kufanya:
- Chomeka Modem yako ya Huawei
- Ikifungua Software ya Huawei Modem ambayo ulishainstall awali "IFUNGE"
- Run hii Update uliyoidownload HAPA.
- Wakati ina-write dashboard hii, Ikifungua software ya Mobile Partner ifunge mpaka itakapomaliza
- Sasa Uninstall software ya zamani ya modem yako na ufurahie Dashboard hii Mpya yenye WiFi
Tafadhali Mods Msiunganishe Thread hii kwa manufaa ya Wanajamvi na kama vipi iwe Sticky!!!
WiFi Kimox 2013
Uncle Rukus mpaka sasa nimeweka kwenye E303, E173 na E160 inafanya vyema tu
Usicheke,ahahaaaaaa mkuu Sigma umenichekesha
Shukran kwa msaada, kama desktop yako ina Wireless itasupport kwa ku supply Hotspot
je kuaccess m-pesa??? au kukagua salio????au kuunga wajanja night????:smile-big:
Msaada napata tabu jinsi ya kuidownload nifanyeje?Kwa wale waliokuwa wanapata shida jinsi ya Kuinstall Dashboard ya Mobile Partner Mpya yenye WiFi kwenye Modem zao wanaweza kuchukua hii update niliyoitengeneza.