Hapa Ndio JamiiForums

Ni hapa hapa pia kama una biashara unaweza ukauza na kununua,unatafuta shule nzuri kwa watoto wako hapa hapa utapata jibu na ni shule gani nzuri na ubora wake,ni hapa hapa utajifunza jinsi ya kuwa baba mwema kwa familia au mama mwema kwa familia ni hapa hapa pia utapata mashabiki wa mpira hasa timu zisizokuwa na mwelekeo kama Man united na Chelsea ha ha ha
 
nimeiona na hii,sometime ukitulia huwa unatoa maneno yanayoeleweka sana.

huyu niachie tumesha ahidiana atabehave tu hana neno!!!! he is a gud boy from now on........
 
huyu niachie tumesha ahidiana atabehave tu hana neno!!!! he is a gud boy from now on........
what??mcheki kule kwenye mada ya mama nim anavyochafua hali ya hewa,jamaa kashindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…