Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
Nashukuru kwa mchango.sio kila kitu ni real.. ni mawazo yake au mawazo ya watu wengine. ndio maana wanaoshutumiwa (vatican) hua hawana mpango wa kuwajibu coz wanajua ndio kazi ya watu kusema kila wanachosema.
madman seewhat he see...
Mkuu, tupe elimu yako inaonekana una ujuvi na kitu core kuhusiana na hii mada ila unashindwa kusema kuogopa kupondea dini, tuelimishe tutakaoelewa tutameza na wabishi watabisha on their own risk.Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.
NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.
Ni hayo tu
Kuna sehemu nime nimeandika aminin hii then quantun huwez ikuta kwenye magazeti. Nashukuru kqa mchango mr chiz maarifaHamna lolote hayo ni mawazo tu ya watu kama ambavyo wanaweza tolea maana waitakayo alama yoyote .binadamu anaruhusiwa kutafsiri apendavyo.ndo maana hukuti makanisani wanahangaika na tafsiri hizo za watu (siyo zako maana nawe umesoma na kusimuliwa ukaona ngoja ukawakoge JF) HAMNA LOLOTE LA MAANA UNALOTAKA KUAMINISHA WATU.HAYA YAMEONGELEWA MIAKA NA MIAKA HAMNA JIPYA HAPO. NENDA KATAFUTE JAMBO LINGINE LA MAANA.😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Nadhan wafia din ndo wangekuwa mstari wa mbele kutoa mchangua kuhusu msalaba, tatizo din sikuzote haina majibU ya kuridhishaMkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.
NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.
Ni hayo tu
Mm kuileta hapa hii mada ili kama kuna mtu anajua kiundani ili tupate madin ngoja nisubir watakuja lakin wachacheHizo code mpaka yeye kuzisema ni noma inamaana anajua kinagaubaga.. kashindwa Nini kubainisha hapa watu wajue..?
Au nayeye hajui..?
Itakuwa hajui!!
Ila kimoja hilo la namba nami nilishawahi kulihisi!! Ni kama vile kuna kitu behind numbers!! Lkn kuhisi huku haimaanishi hicho kitu kipo,Bali kinahitaji uhakika..
Kila mtu na vile anavyoelewa binafsi nahisi watu wanatawaliwa kupitia dini,fedha,siasa n.k
Moja ya watu ambao uwa naona vichwa vyao vibeba madini hapa Jf moja wapo ni wewe, lakni unawogopa sana wafia dini.Mkuu Waterbender mada yako ina mashiko sana ila ''ulichokosea'' ni kugusa issue ya imani. Hapo kila anayekuja kuchangia ataongozwa na mahaba ya dini kuliko rational reasoning na mjadala utabadilika kabisa. Mimi niliacha hizi mada za kidini maana unaweza kuleta hoja ili kuchokoza mjadala watu wafunguke ila ukaonekana kama shetani fulani hivi.
NB: Edit hapo ufute conspiracy kuhusu msalaba ndio mada yako itajibiwa kineutral otherwise subiri tu kejeli na hasira za wafia dini.
Ni hayo tu
kuna jamaa anapenda kutumia tenzi kama hizi humu [emoji16][emoji16][emoji16]Moja ya watu ambao uwa naona vichwa vyao vibeba madini hapa Jf moja wapo ni wewe, lakni unawogopa sana wafia dini.
wafia dini wanatukosesha sana madini kutoka kwako.
N'nani huyo?...kuna jamaa anapenda kutumia tenzi kama hizi humu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hata ninge fanya unavyo sema still ingekuwa iv, dhahiri inajulikama mada kama hiz ni wasomaji wengi lakin watoa madin wachache sanaNilidhani mada hii ulimlenga lifecoded ndiye aje aifafanue. Ingawa naona unatafuata wachangiaji wengine, Muda huu ungekuwa nawe unaandika unachokifahamu, ingechokoza wajuvi wengi kuja kudadavua ulipokosea au kuongezea ulipo bakiza.
SYou talkin about mysteries,
Lifecode nimemtafuta mara kadhaa lakin kimya ndo maana nikaileta notes yake kama ilivyo maana najua alipo toa hayo hawez kuwa pekeyake anae juaHata ninge fanya unavyo sema still ingekuwa iv, dhahiri inajulikama mada kama hiz ni wasomaji wengi lakin watoa madin wachache sana