Hata ikiwa ni Tanzania, hili ni jukumu la halmashauri husika na wadau wake wa elimu, wadau ni wazazi, wananchi,na viongozi, wanasiasa kama wabunge na madiwani. Si swala la central government hili, ndio maana ilihuishwa serikali za mitaa nchini, 1982.