sumbai, thread ipo very selective. Mleta mada katoa orodha ya waalimu
kisha orodha ya wanafunzi.Obviously wapo wadau humu watatambua orodha
hizo na automatically watafahamiana waliosoma shule hiyo.Ilivyo, wewe
ni outsider, hivyo huhusiki na hii shule.