Hapa kuna watu wangapi?

Hivi.. umeuliza idadi ya... ya watu vile?! Mbona siwaoni wengine?
 
Duh huyu ndo mrembo sasa
 
huo udongo ni wakule ambapo kombe la dunia likifanyika hivi majuzi?
 
huo udongo ni wakule ambapo kombe la dunia lilifanyika hivi majuzi?.
 
mimi nimeona panya mweusi anaendelea kula kyupi mpaka kimeaki kikamba tu
 
Ebwana nimepagawa hapa kupata idadi kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…