Mkuu naona hata mwanamke angenyamaza hizo tabia mbovu zinaonekana ziko wazi. Mfano kama nimeelewa vizuri binti analalamika kuwa ameshatafutwa sana na wanawake baada ya jamaa kukutwa na msg na wanawake zake.
Thats means hata huyo mwanamke ambaye yupo wote tangu... naye anadanganywa kama binti ama pengine hajamuacha huyo mwanamke kwa kuwa anaweza kumvumilia.
Hakuna malengo hapo. Mwanaume anaonekana bado ni mvulana na hajielewi.
Dada acha kuingilia mapenzi ya namna hii na hivi uko mbali utakuja kushangaa jamaa ameshaanzisha familia na huna la kumfanya.
Halafu tabia moja wanaume sisi huwa nayo inaita kuwa na makoloni(ex wa kila kona). Hapa naongelea upo dar unae ukienda Arusha koloni(kiporo kinapashwa) sijui Shinyanga koloni lipo tabia zetu tuachilie wenyewe tu
Mkuu naona hata mwanamke angenyamaza hizo tabia mbovu zinaonekana ziko wazi. Mfano kama nimeelewa vizuri binti analalamika kuwa ameshatafutwa sana na wanawake baada ya jamaa kukutwa na msg na wanawake zake.
Thats means hata huyo mwanamke ambaye yupo wote tangu... naye anadanganywa kama binti ama pengine hajamuacha huyo mwanamke kwa kuwa anaweza kumvumilia.
Hakuna malengo hapo. Mwanaume anaonekana bado ni mvulana na hajielewi.
Dada acha kuingilia mapenzi ya namna hii na hivi uko mbali utakuja kushangaa jamaa ameshaanzisha familia na huna la kumfanya.
Ndugu acha tu yaani mwanaume wa hivo ni mshenzi yaani unaeza kuta hapo kapanga hata watano afu wote anawahaidi ndoa wengine wakizingua anajitambulisha kabisa,shida iko kwa wadada wakisikia neno ndoa wanapagawa hivi mimi na akili zangu eti nigombanie mume kabisa!
Iam always yearning to see your comments mkuu. I feel that you are a very smart individual when I do read your intelligent comments. Salute kwako mkuu you have my respect