The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
Huyo Jamaa anampaga hela? Tsh ngapi kwa siku?Kupenda sana kunafanya kukosa maamuzi,
Maumivu yakizidi saana utatafutwa ufumbuzi,
Ukiusikiliza sana moyo utadumaza akili,
Ishi Kwa kuzoea usiishi kimazoea.
Ushauri:AKIMBIEE
Mkuu naona hata mwanamke angenyamaza hizo tabia mbovu zinaonekana ziko wazi. Mfano kama nimeelewa vizuri binti analalamika kuwa ameshatafutwa sana na wanawake baada ya jamaa kukutwa na msg na wanawake zake.Hivi unategemea majibu ya positive kwa mwanamke alieachwa juu ya ex wake? Tena anakupa muda wake wa kuongea na wewe juu ya ex wake na tabia zake za kumuacha na kumrudia.
Mbuzibee 🐐
Iam always yearning to see your comments mkuu. I feel that you are a very smart individual when I do read your intelligent comments. Salute kwako mkuu you have my respectWewe unahusikaje?
Mkuu ni mtu wangu wa karibu sana huyu. Amenishirikisha na mwanaume mwenyewe namjua. Tafadhali ushauri wako ni muhimu sana.Wewe unahusikaje?
Mwanaume ni 32 na binti ni 21. Huyo mwanamke sina hakika ana umri gani ingawa ninajua ni mdogo kwa mwanaume.Huyo binti wa 32 mwambie awe na utu uzima. Ako na uhusiano na mtoto..
Hivi hakuna neno jingine zaidi ya hilo la mbwa??Red flags kibaoooooo!!!
Bado tu binti anaomba ushauri?
Ana options mbili;
1.Aendelee nae, ila ajue mwanaume wake ni MALAYA, MBWA... Asitegemee kuwa atabadilika kwenye ndoa au popote pale, na asije kusumbua watu/wazee/wachungaji kila siku kuomba kusuluhishwa/ushauri.
2.Akimbie fasta, asigeuke nyuma.