GE2010 Hapa Kuna Mushkeli

Nilikwenda kwenye site ya Kikwete ya Facebook. Amini usiamini ameweka picha akihutubia UN. It speaks a lot about the his presidency!
 
Hivi nn maana ya .abango ya picha za kikwete? Maana yake watu hawamjui?
 
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu wakamuelewa????Doubts!!!Anguko hilo,kwa watu wanaofikiri vizuri.:violin:

Jitahidi mzee na ajira ya mafisadi. SIDANGANYIKI
 
solution sio kujenga orphanage mkuu, ni kuboresha maisha ya watanzania

Kuboresha maisha ya watanzania ni process.Hivi mbona point huna siku hizi!?Au unasubiri Slaa arushe faili udandie?
 
Siasa za MTARO WA MAJI MACHAFU
Kama unadhani mke kakwapuliwa mbona hajakamatwa mpaka leo?

Jamii ndo ishamtia doa.Na ujue elimu elimu hapa kwetu bado ni tatizo.3rd class people likes to hear about people,not ideas.Ask wauza magazeti ya udaku.
 
Tuma ujumbe huu kwa watu 50 thanks

 
Last edited by a moderator:
Ni wa kuigwa sana ila si kwa kujinadi kwa picha zake wakati mafao yake ya bungeni ulitumia kumnunulia kimada gari badala ya kujenga hata orphanage moja.Doh!!:becky:
Tandaleone nahisi unamtindio wa ubongo!!
 
Wewe vipi bana! kuna watu wamehamisha familia nzima inaranda kuwapigia debe...mama, baba, watoto, mahawara n.k wote wanampigia debe mgombea nchi nzima...wakati mgombea huyo huyo anajidai kuwa amewatumikia vizuri wananchi kwa kipindi cha mwanzo cha uwongozi wake...sasa nashangazwa kutumia familia nzima na mamilioni ya fedha kufanya kampeni...anguko hilo nalo!
 
hivi yale mavazi ya chadema vipi..?
 
Hivi,mpaka mtu ajinadi kwa bendera ya taifa na picha ya Nyerere ndo aaminike??????Doh!Inamaanisha mtu haamini ndani ya nafsi yake kwamba anaweza kusimama peke yake na watu wakamuelewa????Doubts!!!Anguko hilo,kwa watu wanaofikiri vizuri.:violin:

Kweli kuna mushkeli kwa watanzania kuendelea kuongozwa na chama kisichokuwa na mwelekekeo, zaidi ya kutumia rasilimali kubwa za nchi kuhakikisha kinarudi madarakani! Kuna mushkeli kuona kuna watu kama Tandaleone wasioweza kuona ukweli wowote zaidi ya kulamba miguu ya watawala!! kuna muskeli kwamba nchi inaongozwa na watu wenye mapungufu kibao na tunashindwa kuwaambia kwa umoja wetu kuwa wanatupotezea wakati!! kuna mushkeli kwamba wana sisiem wameshindwa kumuona na kumwambia kiongozi wao kuwa yuko uchi, hajavaa nguo!

Ni Kweli kuna mushkeli tena mkubwa kwamba mtu anayeonyesha uzalendo na kuipenda nchi yake ndiye anayeonekana mbele ya macho ya wana sisiem kuwa ana matatizo, na bila aibu wanalitumia hilo kama mapungufu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…