Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,418 Jul 23, 2025 #1 Hii jamii ya ndege ni waaminifu sana ila utajua kwa nini mume na mke wanaonesha ujumbe.
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,245 Reaction score 42,008 Jul 23, 2025 #2 Mke ni huyo aliye pembeni ya huyo wa kiume.
Citizen B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 6,798 Reaction score 9,413 Jul 23, 2025 #3 Hannah said: Mke ni huyo aliye pembeni ya huyo wa kiume. Click to expand... Kila mmoja yuko pembeni ya mwenzie
Hannah said: Mke ni huyo aliye pembeni ya huyo wa kiume. Click to expand... Kila mmoja yuko pembeni ya mwenzie
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,588 Reaction score 133,209 Jul 23, 2025 #4 Mume kachakaa, mke amenawiri. Ndoa ni biashara ya faida kwa mwanamke tuu 😎
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,245 Reaction score 42,008 Jul 23, 2025 #5 Citizen B said: Kila mmoja yuko pembeni ya mwenzie Click to expand... Hamna, wakike ni huyo aliye pembeni ya mwenzie sasa.
Citizen B said: Kila mmoja yuko pembeni ya mwenzie Click to expand... Hamna, wakike ni huyo aliye pembeni ya mwenzie sasa.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,999 Reaction score 9,923 Jul 24, 2025 #6 Aliyenenepa ndo mke
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,962 Reaction score 1,252,212 Jul 24, 2025 #7 Aiseeeeeee