mbona huelewi bro..
achana na hao wanaoandika x badala ya s au k badala ya ok..
demu wako atakua kanyoa denge, kachora way kichwani, mvaa vibukta au pens
pole sana...
Mapenzi yapo bloo. Si ameshakwambia yeye 'cio wale wanaake wenye tamaa za pesa, cpo hko kbxa anajiongeza jinci ya kupambana mwenyewe apate hizo laba avae hyo tar nne' .......
Ila mnajuana wenyewe na uandishi wenu huo aisee. Ndege wafananao huruka pamoja.
Mapenzi yapo hapo bloo. Mnunulie 'laba' uone hiyo tarehe nne kama haji.
Hivi vizinga vidogo kama raba vitatue au kutengeneza simu mizinga isiyokuwa na maana ikizidi kupitiliza ni haki yako kukataa tofaut na hapo kama hayo machache yanakushinda unayumba