Hapa kazi tu

Huyu sio alisema atatumia usafiri wa barabara alizozijenga tu?ameshaanza mapema sana kutotimiza ahadi zake huko baadaye itakuwaje!
 
Kweli hapa kazi tu
 
Attachments

  • 1442639765304.jpg
    16.6 KB · Views: 575
  • 1442639784071.jpg
    78.7 KB · Views: 530
Huyu sio alisema atatumia usafiri wa barabara alizozijenga tu?ameshaanza mapema sana kutotimiza ahadi zake huko baadaye itakuwaje!
kitu ambacho mwanasiasa anaasema ukweli ni JINA LAKE TU................alisahau kuna mafia ukerewe unguja pemba etc
 
Hata jina wanasahau Muulize Mwigulu na Kigwangala majina yao utashangaa
 
Ukistaajabia ya Musa utaona ya ccm 2015
 
Attachments

  • attachment-1.jpeg
    9.6 KB · Views: 637
hehehe wabongo bna.. wanapondea utasema UKAWA hawana helicopter.
 
Hapa kazi one sio tu.

Cc Jihan.
 
Last edited by a moderator:
Huyu sio alisema atatumia usafiri wa barabara alizozijenga tu?ameshaanza mapema sana kutotimiza ahadi zake huko baadaye itakuwaje!

Hahahahaa mkuu umenivunja mbavu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…