Hapa Karatu toka Disemba hakuna Decorder za Azam

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,100
Salam,

Toka Disemba nilienda kununua Azam hazijafika. Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.

Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje.

Wakanipa kifurushi Cha 37,000 kama offer, nikaongeza 24,000 kiwe Cha 60,000.

Kwenye upande wa muziki mengi ni mamiziki ya wanigeria. Mpira angalau kidogo ila Kuna channe ya Travel haipo Kwa 60,000.

Azam hiyo channel yangu pendwa naipata Kwa 25,000.

Nikipata Decorder ya Azam naweka sandukuni Dstv.
 
Salam,Toka Dicemba nilienda kununua Azam hazijafika.Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.

Wakanipa kifurushi Cha 37,000 kama offer,nikaongeza 24,000 kiwe Cha 60,000.

Siyo tu Karatu Mkuu.
Hadi Makao makuu hana stock
Mawakala wote wanasema hawana na sehemu zingine na sample unaziona.
 
Salam,Toka Dicemba nilienda kununua Azam hazijafika.Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.
Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje.
Wakanipa kifurushi Cha 37,000 kama offer,nikaongeza 24,000 kiwe Cha 60,000.
Kwenye upande wa muziki mengi ni mamiziki ya wanigeria. Mpira angalau kidogo ila Kuna channe ya Travel haipo Kwa 60,000.
Azam hiyo channel yangu pendwa naipata Kwa 25,000.
Nikipata Decorder ya Azam naweka sandukuni Dstv.
Dstv iko juu kwa channel kama ID, NatGeo Gold, Movies, nk. Azam ni ya Mahouse girl hiyo..
 
Salam,

Toka Disemba nilienda kununua Azam hazijafika. Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.

Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje.

Wakanipa kifurushi Cha 37,000 kama offer, nikaongeza 24,000 kiwe Cha 60,000.

Kwenye upande wa muziki mengi ni mamiziki ya wanigeria. Mpira angalau kidogo ila Kuna channe ya Travel haipo Kwa 60,000.

Azam hiyo channel yangu pendwa naipata Kwa 25,000.

Nikipata Decorder ya Azam naweka sandukuni Dstv.
DSM toka November 30 hakuna afadhali huko December, kwa aliyepata ni kwa kuokoteza sana
 
Screenshot_20240112-102426.jpg
 
Salam,

Toka Disemba nilienda kununua Azam hazijafika. Nimerudi Jana tena maduka ya Karatu yote hayana hizi decorder za Azam.

Nikanunua Dstv nikasema ngoja nione wakoje.

Wakanipa kifurushi Cha 37,000 kama offer, nikaongeza 24,000 kiwe Cha 60,000.

Kwenye upande wa muziki mengi ni mamiziki ya wanigeria. Mpira angalau kidogo ila Kuna channe ya Travel haipo Kwa 60,000.

Azam hiyo channel yangu pendwa naipata Kwa 25,000.

Nikipata Decorder ya Azam naweka sandukuni Dstv.
Agiza Arusha.
Mbona kama vile unaishi nchi ya mbali vile wakati Chuga unapata tu.
 
Back
Top Bottom