Hapa JK kacheza kama Messi



Rudi katani kajifunze hata kuandika na kuacha nafasi kabla akili zako zitulie then uje jamvini .Umekaa uchi na huu upupu wako mwingi ulio mwagika.Nape kesha pigwa stop nani anawalipa sasa ?
 
True sir japo sidhani kama anamawazo kamayako, nachojua anawatamani akili na mawazo yao
 
Kama kweli una maana JK ku-sign mswaada wenye mapungufu badaya ya "kusujidiwa" na
CDM ni kucheza kama Messi (mwanasoka bora wa dunia). Basi kweli watanzania tuna matatizo
makubwa, tena ya msingi. Mimi nawaonea huruma CDM kuwatetea Watanzania wa aina ya kwako.

Kwa Watanzania wa aina hii CDM fanyeni tu kama CUF kule ZNZ, mpaka siku watanzania
watakapotia akili kichwani. Njisi alivyoandika thread yako, haina paragraphy, nukuta, spelling
mistakes etc, inaonekana wewe ni KCC ambaye unafurahia wabunge wako kulipwa seatting
allowance ya 200,000/- ambayo ni sawa na take home yako wa mwezi. Kwanini CDM
mnapoteza mda wenu kumtetea mtu wa aina hii? acheni CCM waendelee kumtafuna
 
siku zote mimi nawachukulia washabik wote kama wa cdm kama dust bin la mawazo ya viongozi wao,lkn wala hamnipi homa coz baada ya lowasa kutangazwa mgombea ndio utakua mwisho wenu
 
Waliambiwa wasimame vichwa chini na JK alipoingia akawaamabia wakae, still vichwa chini?


Hizi protokali nyingine bana,hivi kumbe rais huwa anasujudiwa?

Haya mambo ya wakoloni sijui kwanini tuliiga yote?

Kusujudiana ni mambo ya ufalme bana,si kwenye tawala za kidemokrasia ambapo tunachotakiwa ni kutoa Heshma na si kumsujudia binadamu mwenzenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…