Hapa inakuaje?

James St. Patrick

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
172
Reaction score
72
Wakuu salama?

Nilisafiri kwa muda wa wiki 3, kurudi nikajuta kifurushi cha tv kimekwisha (natumia azam ug) basi nikachukua waya wa dish nikachomeka kwenye tv direct, nika add satellite kama 2, ku search nikapata channel ka 40+. kwahiyo nikashindwa kuelewa ni kwangu tu au na wengine mnapata hizi channel
.
NB: natumia dish la startimes na lnb nilinunua tu dukani.
 
We endelea kuangalia kwani lengo lako si upate Chanel au unaogopa kuja kulipishwa mamilioni.
 
so ???????
 
Sasa Mzee Kombo wewe na uzee wako huo ulitakaje, kukamatwa ukale ugali wa bure na kushikishwa ukuta Segerea au? Mbona una hofu sana?
 
FTA,
Enjoy mkuu, ila ungesema umepata chanel gani na gani. Maana nyingi unakutaga zile mbaya mbaya za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…