.......Hapa hata kaseja haoni ndani bana,

Poulsen akija kichwa kichwa anadakwa mwenyewe...:dance:
 
Anaitwa sharubu huyooo ni noooooooooooma waulize ma dereva tours wanaoenda Pori A-town wakikupa story za huyo sharubu mpaka utapenda
 
Kila kitu mungu katoa kipaji hapa mpaka kieleweke but kuna wakati wanatokwa vile vile ..
 
Mambosasa si kitu, unamkumbuka yule Kichochi Lemba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…