Hapa Dodoma: Mambo ni moto!

Crazy observation: Wabunge wengi vijana hasa wa upinzani wanakunywa sana pombe jamani.Wajirekebishe.Wasipofan ya hivyo,nitawaweka hapa majina na picha zao wakiwa chakari. Niko hapa karibu yao wakiwa wamelewa sana. Not good at all!

Wewe usione aibu au woga kuweka majina hat picha zao, ili wajirekebishe.
 
Walevi sugu wanajulikana: Kigwangala, Sendeka, Maji marefu, Airo, Komba, Zungu, Kilango, Pinda, Lameck, Tyson, Ngeleja, werema, Maige, Majimarefu na yule shoga wa kigoma mjini...

ahahahahahHahahahahahah pinda pia yupo ahahahahahah vipi kuhusu mwigulu chemba nalusinde ze kudadadadeki.
 
Tatizo pesa wanazolipwa ni nying mno mpaka wanazipeleka kwny pombe na mabinti.
nashauri hawa wabunge walevi na wapenda anasa hasa Nchemba watafutiwe washauri wa jinsi ya kutumia pesa zao kama ilivyowahi kutokea kwa Rooney.
Mkuu VUTA NI KUVUTE huwa unanikosha sana kwa post zako zilizojaa FULL UZALENDO!!!thanks mkuu!
 
mbona viti bungeni vipo tupo wameenda BAR GANI?
 

kwa mchango wa aina hii heri ungejizuia kuandika ie ungekaa kimya
 

hapo kwenye bold ni hawa magaidi???
 
vuta nkuvute huna lolote.. huu ni umbea wa hali ya juu kabisa
 
pombe na wabunge..
halafu utasikia eti wako katika hatari ya kutekwa na kuwekewa sumu
hii nchi hii...

Kwani siyo binadamu? wacheni wanye ama nyie waJF ndio ruksa? mbona mnakunywa? ucheni ushamba
 

safi sana mzee wa vuta-nikuvute. Nikukumbushe tu kitu hapa jamvini huhitaji kuficha wala kuomba ruhusa kuweka mambo hadharani kama una picha za hao walevi zitupie tu sisi wapiga kura tutajua la kuwafanya
 
Umesomea kufuatilia mambo ya watu ?unalipwa na nani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nashauri hawa wabunge walevi na wapenda anasa hasa Nchemba watafutiwe washauri wa jinsi ya kutumia pesa zao kama ilivyowahi kutokea kwa Rooney.
Mkuu VUTA NI KUVUTE huwa unanikosha sana kwa post zako zilizojaa FULL UZALENDO!!!thanks mkuu!

siunajua utaifa kwanza siasa (ushabiki wa vyama) baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…