Hao Wafungwa wa kunyongwa wanaokaa na Tundu Lisu nadhani ni wale ambao Shujaa Magufuli alikataa kusaini Hukumu zao za kifo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Nakumbuka shujaa Magufuli akiwa kwenye mkutano mmoja pale njia panda ya Kilosa alisema yeye hawezi kusaini hukumu ya kifo na wote waliohukumiwa kipindi chake wako magereza na kamwe hatasaini

Nadhani ndio hawa aliowazungumza Lisu mahakamani Leo

Mlale unono
 
Wako wengi sana watu wa namna hiyo wengine tangu miaka ya sabini huko
 
Hivi umeshawahi kwenda kuhiji kwenye kaburi la huyo shujaa wako? Nenda weekend hii Chato ukahiji ili haya maluwe luwe ya huyo shujaa wako yakutoke kichwani maana yanelekea kukusababishia uchizi fresh.
 
Ni kweli JPM alikuwa ni SHUJAA!
Alikuwa haidhinishi KUNYONGWA kwa raia wake aliyehukumiwa ki halari na Mahakama, lakini alikuwa akiamrisha raia wake WAUWAWE, bila kufikishwa Mahakamani, au hata kukamatwa na Mgambo!
 
Hakika mtu yule alikuwa mwovu kabisa.
 
Ni kweli JPM alikuwa ni SHUJAA!
Alikuwa haidhinishi KUNYONGWA kwa raia wake aliyehukumiwa ki halari na Mahakama, lakini alikuwa akiamrisha raia wake WAUWAWE, bila kufikishwa Mahakamani, au hata kukamatwa na Mgambo!
Umenena vyema.waliouwawa kwenye utawala wake Sawa na kusaini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…