Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 591
Jamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu
Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
Kadiri utoavyo ndivyo upatavyo...Jamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu
Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
KabisaKamati ya roho mbaya
Kaongea ukweli mnoHawa ndio wake zetu watarajiwa.
Aafu unategemea utahudumia/kuwasaidia wazazi wako wanapokutwa na magumu hapa!!?
Kizungu sawa.Kaongea ukweli mno
Huo ni ukweli ,ukiishiwa watakucheka tena sana. Saa nyingine fanya kaunafiki mambo yaende. Watu hawapendi ukweliJamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu
Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
Kinachomuuma nadhani si kusaidia, ila ni matokeo ya kusaidia, hao uliowasaidia wanakucheka ukiishiwaKizungu sawa.
Kiafrika hayuko sawa.
Reason, asilimia kubwa ya waafrika ndugu wanahusika kwenye kukua kwetu mpaka kufikia tulipo.
Sasa ukisaidiwa na ndugu ukafanikiwa aafu uje ujifanye mzungu hata kuwasaidia kununua dawa wagonjwa hutaki Ni ajabu mkuu.
Nasikia ni tamu ila naogopa kujaribu
Mambo zenu, Nina boyfriend wangu, my hub ninampenda sana, sasa alinishawishi aniingilie kimapenzi upande wa pili (nyuma) kwa watu wazima hapa mshaelewa namaanisha nini. Japo na mimi pia nataka kujaribu ila mmh naogopa akinifanya hivyo halafu akaniacha nitaumia sana jamani. Naombeni ushauriwww.jamiiforums.com
Kama na huo uzi uliandika wewe, basi nadhani upo sahihi kabisa....teh