Cute Cindy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 211
- 591
Jamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu
Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..