Hao hao unaowapa pesa ya bure leo hii, ndo watakuja kukucheka na kukusema vibaya siku ukiishiwa

Cute Cindy

JF-Expert Member
Apr 9, 2019
211
591
Jamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu

Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
 
Wewe hujawahi kusaidiwa na nduzo?

Hata bwana wako kukuhonga anakosea?
Roho hiyo usiipe nafasi we mwanamke.utakwama wataacha kukusaidia
 
Wewe n mwanamke wa kichaga nn ....tena mmachame...sio kwa roho mbaya HVO et...buku mbili tu?? Muache afe!!!
 
Jamani vijana wenzangu tuache kugawa hovyo pesa zetu, kama nduguyo anasema ana shida njaa inamuuma, mwache afe na njaa..kwani njia yetu sote ni moja..Kama ww ni mtoto tegemea wazazi, kama ww ni MTU mzima Fanya kazi, kama huwezi kufa mwenyewe, tutasaidiana connection za kazi ila pesa za bure hakuna..MTU akitaka kukukopa aende benki..ukisaidia sana watu hlf ukija kuishiwa utachekwa , bora uwe mchoyo hata ukija ukiishiwa unajua ulizifaidi hela zako mwenyewe, as long as usitumie hela zako kumfanyia MTU ubaya wala kumkera mtu

Ukiwa na mabilioni ya shilling hlf jirani yako au ndugu yako anakufa njaa Kwa kukosa tsh elf 2 ya chakula, au anakufa Kwa kukosa dawa ya tsh elf 10 ni sawa tu..
Kadiri utoavyo ndivyo upatavyo...
 
Kama na huo uzi uliandika wewe, basi nadhani upo sahihi kabisa....teh
 
Kaongea ukweli mno
Kizungu sawa.
Kiafrika hayuko sawa.
Reason, asilimia kubwa ya waafrika ndugu wanahusika kwenye kukua kwetu mpaka kufikia tulipo.
Sasa ukisaidiwa na ndugu ukafanikiwa aafu uje ujifanye mzungu hata kuwasaidia kununua dawa wagonjwa hutaki Ni ajabu mkuu.
 
Huo ni ukweli ,ukiishiwa watakucheka tena sana. Saa nyingine fanya kaunafiki mambo yaende. Watu hawapendi ukweli
 
Kizungu sawa.
Kiafrika hayuko sawa.
Reason, asilimia kubwa ya waafrika ndugu wanahusika kwenye kukua kwetu mpaka kufikia tulipo.
Sasa ukisaidiwa na ndugu ukafanikiwa aafu uje ujifanye mzungu hata kuwasaidia kununua dawa wagonjwa hutaki Ni ajabu mkuu.
Kinachomuuma nadhani si kusaidia, ila ni matokeo ya kusaidia, hao uliowasaidia wanakucheka ukiishiwa
 
Kama kunaukwel hivi daah

Nimekua mseeidiaji mzur kwa wana ndugu na familia hadi mda mwengin nakosa kua na utulivu wa akili kwa kupoteza hela nying kuliko kuingiza

Na mwishowe hawaachi kunisimanga

Saiv nimeamua iwe basi lolote naliwe
 
Kama na huo uzi uliandika wewe, basi nadhani upo sahihi kabisa....teh
IMG_20190211_110651.jpg
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom