Mr Eggo
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 2,028
- 1,051
habari za umu wana mmu
Baada ya kuamua kua na mpenzi wangu huyu kwa shida na raha na kujiahd moyon kwangu kua wil neva leave her side,,,,kioja kimekuja baada ya mm kupangiwa kikaz jijin mwanza ambapo anadai lazma ntabadilika na kumsahau kutokana na mwanza kuwepo na warembo weng ambao kimsing lazma ntalaghaika!,,,najarib kumpa uhakika wa maisha yake kua sintomtenda na kama ntazidiwa bas ntakua namfuata alipo lakin ata ivo anaelewa kishingo upande!,,
Iv n kwel ukiwa mwanza lazma umsahau laaziz wako?