Handsome and beatiful the time is here

yaan huyu ana toa tundu na anapiga miti so waingereza mjipange kama sijaelewa vizuri
 
Hawa watu hawajafunga shule kweli....mana hawa wakishajua yes..no ni tatizo tayari.
 
Hili dili la kiingereza limekuwa muhimu sana kwenye uchumba humu JF.
Na hili ndio sababu wazungu wanajiona bora kuliko sisi ngozi nyeusi, Dini wametuletea wao(white jesus)
Lugha yao tunaipenda kuliko yetu. Majina yao tunayapenda, mavazi yao tunayapenda na kuyachukia kila letu.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…